• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri wa ulinzi wa China ahudhuria Mkutano wa saba wa Moscow kuhusu usalama wa kimataifa

    (GMT+08:00) 2018-04-05 08:22:49

    Waziri wa ulinzi wa China Bw. Wei Fenghe ambaye yuko ziarani nchini Russia amehudhuria na kuhutubia mkutano wa saba wa Moscow kuhusu usalama wa kimataifa uliofunguliwa jana. Kwenye hotuba yake Bw. Wei ametoa pendekezo la kuanzisha ushirikiano wa kiusalama, na kusema China inapenda kushirikiana na nchi mbalimbali katika kulinda usalama wa pamoja, kutatua migogoro kwa njia ya amani, na kujenga mazingira ya kimataifa yenye usalama na kunufaishana. Kwenye ziara hiyo Bw. Wei amekutana na mwenzake wa Russia Bw. Sergei Shoigu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako