• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mwanasheria Alex van der Zwaan ahukumiwa kifungo cha siku 30 kwa tuhuma za kushirikiana na Russia kuingilia uchaguzi wa Marekani

    (GMT+08:00) 2018-04-05 08:23:42

    Mwanasheria wa Marekani Alex van der Zwaan amehukumiwa kifungo cha siku 30 na faini ya dola elfu 20 za kimarekani na mahakama moja ya Washington D.C. kwa tuhuma za kushirikiana na Russia kuingilia uchaguzi mkuu wa Marekani, na kuwa mtuhumiwa wa kwanza kuhukumiwa tangu uchunguzi kuhusu Russia kuingilia uchaguzi wa Marekani ulipoanza.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako