• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Twiga Stars yabanwa mbavu, yalazimishwa sare ya 3-3

  (GMT+08:00) 2018-04-05 09:02:40

  Kikosi cha timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania (Twiga Stars) kimeshindwa kutumia vyema uwanja wake wa nyumbani katika mechi ya kwanza ya kuwania kufuzu kombe la mataifa ya Afrika kwa wanawake (AFCON) baada ya kulazimishwa sare ya goli 3-3 dhidi ya Zambia "The Shipolopolo".

  Mtanange wa marudiano utafanyika baada ya wiki mbili zijazo mjini Lusaka, Zambia. Michuano ya Kombe la mataifa Afrika kwa wanawake yatafanyika nchini Ghana mwaka huu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako