• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Parker asema yuko fiti kukutana na Anthony Joshua

    (GMT+08:00) 2018-04-05 09:04:36

    1Mara baada ya mwanamasumbwi Anthony Joshua kutwaa ubingwa dhidi ya Joseph Parker wiki iliyopita, bondia wa uzito wa juu nchini Marekani, Deontay Wilder amesema kuwa yupo tayari kupambana na Muingereza huyo.

    Bingwa huyo wa WBC, Wilder ameingia ulingoni mara 40 huku akishinda mapambano yote na 39 kwa njia ya 'knocked out' (KO).

    Anthony Joshua ametwaa mikanda ya IBF na WBA huku akiuchukua mwingine wa WBO dhidi ya Joseph Parker na hivyo kumfanya kusalia na mkanda mmoja pekee ambao hajauchukua ambao ndiyo huo wa WBC unaoshikiliwa na Wilder.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako