• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bayern Munich yaikata maini Real Madrid

    (GMT+08:00) 2018-04-05 09:04:53
    Klabu ya Bayern Munich imefuta ndoto za Real Madrid ya kunasa saini ya mshambuliaji Robert Lewandowski katika usajili wa majira ya kiangazi.

    Kocha wa timu Bayern, Jupp Heynckes ametoa kauli hiyo wakati timu hiyo ikijiandaa kwa mchezo war obo fainali ya ligi ya klabu bingwa ulaya dhidi ya Sevilla.

    Heynckes ametamba, Madrid haina nafasi ya kumsajili nahodha huyo wa timu ya taifa ya Poland kwakuwa ni mchezaji muhimu katika kikosi chake.

    Hivi karibuni Real Madrid ilitangaza kuweka dau mezani kumsajili mchezaji huyo mwenye kiwango bora katika ligi ya Ujerumani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako