• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tukimfuata rais Xi Jinping kuwakumbuka watu waliojitolea muhanga kwa taifa

    (GMT+08:00) 2018-04-05 11:28:38

    Katibu mkuu Xi Jinping aliwahi kudhihirisha kuwa, taifa moja lenye matumaini haliwezekani kutokuwepo mashujaa, nchi moja yenye mustakabali mzuri ni lazima iwe na watangulizi. Mashujaa wote wa taifa pamoja na mashujaa wale walijitolea mihanga katika vita vya kupambana na uvamizi wa Japan, wote ni uti wa mgongo wa Taifa la China, na wote ni nguvu kubwa inayotutia moyo na kutuhimiza tusonge mbele.

    Agosti 31,2014, Mkutao wa 10 wa Halmashauri ya kudumu ya Bunge la 12 la umma la China mkupiga kura na kupitia azimio kisheria kuhusu kuweka siku ya Septemba 30 ya kila mwaka iwe Siku ya Kuwakumbuka Mashujaa .

    Leo ni Siku ya Qingming yaani siku ya kuwakumbuka marehemu, twakumbuke tena maneno aliyosema Katibu mkuu Xi mara kwa mara ya kuwasifu mashumjaa na kuwakumbuka watu waliojitolewa mihanga, na twatoe heshima kubwa kwao! Taifa la China limepitia njia yenye vipengele vingi vya taabu kutoka kusimama kidete, kuanza kujiendeleza na kuwa na nguvu na uwezao, na kuvumbua miujiza mingi ya namna gani, hayo yote watu wa vizazi vijavyo wanapaswa kukumbuka barabara, na ni lazima tusisahau nia yetu imara ya awali, na daima tusipoteze mwelekeo na njia zetu.

    Tunapaswa kuimarisha elimu kuhusu uzalendo, tunapaswa kuwataka watoto wetu wanajua walitoka wapi, na daima kuwakumbuka wanamapinduzi kwa mchango wao.             

    Katika kipindi cha mapinduzi na vita, watu wa sehemu ya katikati ya Shanxi walijitolea mihanga na kuoneshana moyo wa ushujaa wa sehemu hiyo, tunapaswa kufuata moyo huu katika kazi za zama za hivi leo, na tuendelee kufanya juhudi kubwa zaidi kwa ajili ya raia waishi maisha mazuri na kutimiza usitawishaji mkubwa wa Taifa la China.

    "Kukata vichwa vyetu si kitu, sisi tunayo nia imara ya kweli", "Maadui wanaweza tu kukata vichwa vyetu, kamwe hawataweza kutingisha imani yetu", maneno hayo yameonesha nia imara na matumaini makubwa ya mbali waliyonayo wanamapinduzi waliojitolea mihanga katika kipindi cha mapinduzi na vita. Ni lazima tukumbuke nia na matumaini yao.

    Watu wa vituo vya mapinduzi vya zamani wengi walijitolea mihanga na kutoa mchango mkubwa kwa ajili ya mapinduzi ya China yaliyoongozwa na chama chetu, tunapaswa kuthamini mchango wao na kukumbuka daima.

    Leo tukifungua Sanamu ya Nishani ya Uhuru na Kujitawala hapa, ndiyo tunawakumbuka mashujaa waliojitolea mihanga katika kupigania uhuru na kujitawala kwa taifa letu, ndiyo tunawakumbuka watu wote waliotoa mchango muhimu kwa ajili ya kutafuta Amani na haki,a na kuwakumbuka ndugu zetu waliofariki katika vita. Tutawakumbuka daima milele.

    Twatoe heshima kubwa kwa watu hao waliotoa mchango mkub3wa kwa ajili ya chama chetu na nchi yetu, na tunawasifu moyo wao wa kujitolea.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako