• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Umoja wa Mataifa wasema China ni nguzo muhimu katika operesheni za kulinda amani

    (GMT+08:00) 2018-04-06 08:44:44

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Guterres amesema China ni nguzo muhimu katika operesheni za kulinda amani za Umoja huo. China inashika nafasi ya pili katika kuchangia fedha kwa ajili ya ulinzi wa amani, na moja kati ya nchi zinatuma idadi kubwa ya walinzi wa amani. Kuna polisi na walinzi amani 2,400 kutoka China wanaoshiriki katika operesheni zinazoendelea katika nchi 14. Bw. Gueterres amesema hii ni ahadi kubwa zaidi ya walinzi waliotolewa na China katika kulinda amani duniani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako