• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Zambia yashika nafasi ya nane kiuchumi barani Afrika

    (GMT+08:00) 2018-04-06 08:45:09

    Wizara ya Biashara ya Zambia imesema kwa mujibu wa ripoti ya uwekezaji iliyotolewa na Shirika la utafiti la Quantum Global lenye makao makuu nchini Uswisi, Zambia imeshika nafasi ya tatu kiuchumi miongoni mwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika SADC, baada ya Botswana na Afrika Kusini. Shirika hilo pia limeiorodhesha Zambia katika nafasi ya nane barani Afrika katika sekta za ukuaji wa uchumi, mtiririko wa fedha, mazingira ya biashara, idadi ya watu na mali za jamii.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako