• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Klabu Bingwa ya Voliboli ya wanaume Afrika: Timu za Kenya zaambulia patupu

    (GMT+08:00) 2018-04-06 09:11:08
    Klabu za General Service Unit (GSU) na Prisons za wanaume kutoka Kenya zimeshika nafasi ya tano na nane mtawalia kwenye mashindano ya Voliboli klabu bingwa Afrika jijini Cairo Misri.

    Timu ya GSU imeifunga Ahly Benighazi ya Libya kwa seti 3-2, nao Prisons wamepokea dozi ya seti 3-2 kutoka kwa Aviation ya Misri, michezo yote ilichezwa jana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako