• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kufuzu kombe la dunia la Raga kwa Wanawake: Kenya yaichapa Papua New Guinea

    (GMT+08:00) 2018-04-06 09:11:25
    Timu ya Lionesses ya Kenya imeunguruma na kuibamiza timu ya Papua New Guinea kwa alama 17-5 katika mashindano ya kufuzu kombe la dunia la raga kwa wanawake msimu wa 2018/2019 mjini Hong Kong.

    Na katika mchezo wa pili, Kenya imeifndisha Mexico namna ya kucheza raga kwa kuichapa kwa alama 40-0.

    Mechi za robo fainali zitachezwa leo ambapo Kenya itavaana na Argentina, huku Wales itakutana na Afrika Kusini, na Ubelgiji itapambana na Brazil, nayo China itakapokabiliana na Papua New Guinea.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako