• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Liverpool waiomba msamaha Manchester City

    (GMT+08:00) 2018-04-06 09:11:42
    Klabu ya Liverpool imelazimika kuiomba radhi klabu ya Manchester City kufuatia tukio la mashabiki wake kuamua kulishambulia basi la wachezaji wa Man City kwa kuwarushia chupa za maji wakati walipokuwa nje ya uwanja wa Anfield.

    Liverpool walikuwa wenyeji wa Man City katika uwanja huo kwenye mchezo wa kwanza wa Klabu bingwa ulaya uliomalizika kwa Liverpool kupata ushindi wa magoli 3-0, hivyo kitendo cha mashabiki kurushia chupa basi la Man City kimepingwa vikali.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako