• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania yaahidi kutoa uungaji mkono wa kudumu kwa uhusiano wa kiwenzi kati yake na China

    (GMT+08:00) 2018-04-06 09:24:14

    Serikali ya Tanzania imeahidi kutoa uungaji mkono wa kudumu kwa urafiki na uhusiano wa kiwenzi kati yake na China.

    Waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo Bw Augustine Mahiga amesema, reli ya TAZARA iweka msingi imara wa urafiki na ushirikiano kati ya Tanzania na China, na hata eneo la kusini mwa Afrika.

    Waziri Mahiga amesema hao kwenye shughuli ya kuwakumbuka wafanyakazi na mafundi wa China waliofariki wakati wakijenga reli ya TAZARA yenye umbali wa kilomita 1,860 inayounganisha Dar es Salaam, Tanzania na New Kapiri Mposhi, Zambia.

    Bw. Mahiga pia amesema sasa ni wakati mwafaka kukumbuka juhudi na ujasiri wa waasisi wa reli hiyo, wakiwa ni aliyekuwa Rais wa Tanzania Julius Nyerere, aliyekuwa rais wa Zambia Kenneth Kaunda na aliyekuwa Rais wa China marehemu Mao Zedong.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako