• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ethiopia, Sudan na Misri wakubaliana kutambua mfuko wa miundombinu wa pande tatu

    (GMT+08:00) 2018-04-07 16:30:58

    Mawaziri wa Sudan, Ethiopia na Misri wamekubaliana kutambua mfuko wa miundombinu wa pande tatu kufuatia uamuzi uliofanywa na viongozi wa nchi hizo tatu.

    Kwenye mkutano uliofanyika nchini Ethiopia kando ya mkutano wa kilele wa Umoja wa Afrika mwezi Januari, viongozi wa nchi hizo walikubaliana kuanzisha mfuko huo unaolenga kuongeza nguvu ya mafungamano ya kiuchumi na mawasiliano ya watu kati ya nchi zao.

    Kwa mujibu wa Wizara ya Mambo ya nje ya Ethiopita, maofisa wa nchi hizo tatu wamefikia makubaliano kuhusu masuala kadhaa kuhusu bwala kubwa lenye ugomvi linalojengwa nchini Ethiopia GERD.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako