• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa asema China ni nguvu muhimu ya usimamizi wa dunia

    (GMT+08:00) 2018-04-08 18:18:51

    Kabla ya kufunga safari nchini China na ili kuhudhuria mkutano wa mwaka wa Baraza la Asia la Boao, katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Guterres alipohojiwa na vyombo vya habari vya China kwenye Umoja wa Mataifa amesema, tangu ilipoanza kufanya mageuzi na kufungua mlango kwa nje miaka 40 iliyopita, China imepata mafanikio makubwa. Hii imeifanya China ionyeshe umuhimu mkubwa zaidi kwenye mfumo wa usimamizi wa dunia, na China ni nguvu muhimu ya usimamizi wa dunia.

    Bw. Guterres amesema, kauli mbiu ya mkutano huu wa Baraza la Asia la Bo'ao ni Asia Inayofungua Mlango wake yenye Uvumbuzi kwa ajili ya Dunia yenye Ustawi na Maendeleo, hii inaonyesha kuwa mkutano huo si tu utafuatilia maendeleo ya Asia pekee, bali pia maendeleo ya dunia nzima.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako