• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri wa ulinzi wa Israel ahimiza uchunguzi ufanyike dhidi ya shirika la haki za binadamu

    (GMT+08:00) 2018-04-09 08:51:03

    Waziri wa ulinzi wa Israel Bw. Avigdor Lieberman ametoa wito wa kufanyika wa uchunguzi dhidi ya Shirika la haki za binadamu la Israel B'Tselem, ambalo lilifanya kampeni ya kuwataka askari wakatae kutii amri ya kuwafyatulia risasi waandamanaji wa Palestina kwenye ukanda wa Gaza. Bw. Lieberman amesema shirika hilo linalohujumu nchi liko pamoja na wale wanaoichukia Israel na wale wanaowashutumu askari wa Israel kuchukua hatua kinyume cha sheria, na amemtaka mwanasheria mkuu wa Israel kuanzisha uchunguzi dhidi ya viongozi wa shirika hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako