• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa wakuu wa vyombo vya habari wa Asia kufunguliwa leo

    (GMT+08:00) 2018-04-09 10:37:09

    Mkutano wa wakuu wa vyombo vya habari wa Asia ulioandaliwa na Kituo kikuu cha utangazaji cha China, sekretarieti ya Baraza la Asia la Bo'ao, na shirika la diplomasia ya umma la China utafanyika leo mjini Sanya, mkoani Hainan, China. Wajumbe 100 kutoka vyombo vya habari wa nchi zaidi ya 40 watahudhuria mkutano huo wenye kauli mbiu ya "zama mpya ya ushirikiano kati ya vyombo vya habari vya Asia--kuhimiza maendeleo kwa maingiliano na uvumbuzi".

     

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako