• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ripoti tatu zatolewa kwenye mkutano wa mwaka wa baraza la Asia la Bo'ao

    (GMT+08:00) 2018-04-09 14:09:23
    Mkutano wa mwaka wa baraza la Asia la Bo'ao jana ulitoa ripoti tatu. Ripoti hizo ni pamoja na ya uwezo wa ushindani wa Asia,  ripoti ya mchakato wa utandawazi wa uchumi wa Asia na ripoti ya maendeleo ya makundi mapya ya uchumi. Ripoti hizi zimesema, kutokana na kufufuka kwa uchumi wa dunia na kuharakishwa kwa utandawazi wa uchumi wa Asia, hali ya jumla ya uchumi wa Asia ina mwelekeo mzuri. Ripoti hizi pia zimesema vitendo vya kujilinda kibiashara havitahimiza maendeleo ya uchumi kwa muda mrefu, bali vitazuia maendeleo endelevu ya uchumi.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako