• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Matajiri kulengwa kwenye mpango wa kukusanya ushuru zidi Uganda

    (GMT+08:00) 2018-04-09 18:27:22

    Mamlaka ya kukusanya ushuru nchini Uganda imeanza kujadili uwezekano wa kuwatoza ushuru watu wenye utajiri mkubwa ili kuongeza mapato ya serikali.

    Utafiti uliofanywa na mamlaka hiyo umebaini kwamba watu matajiri zaidi nchini humo ambao ni karibu 10,000 ni miongoni mwa wasiolipa ipasavyo ushuru wao.

    Hali hiyo inapelekea kuongeza mzigo wa ushuru kwa watu wenye mapato ya chini na ya wastani.

    Mmoja wa watafiti kwenye mamlaka hiyo Susan Nakato, amesemamiongoni mwa wale watakaolengwa ni pamoja na watumishi wa uuma wa ngazi za juu, wanasiasa, wanasheria na wahadisi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako