• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Tecno, itel na Infinix zaongoza kwamauzo Kenya

    (GMT+08:00) 2018-04-09 18:28:51

    Simu aina ya Tecno, itel na Infinix za kampuni ya China Transsion Holdings ni miongoni mwa tano bora kwenye soko la Kenya.

    Utafiti uliofanywa na Consumer Insight kwa jina Wakenya, umenyesha kuwa asilimia 54 ya wakenya wanamiliki aina hizo tatu za simu.

    Mwaka 2016 simu mbili kutoka China Tecno na itel zilikuwa na asilimia 34 ya mgao wa soko nchini Kenya.

    Transsion, ambayo pia iko kwenuye soko la India, ndio lenye mauzo mengi ya simu barani Afrika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako