• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Wamiliki wa majumba kukata mkataba na Nakumatt

    (GMT+08:00) 2018-04-09 18:29:07

    Wamiliki wa nyumba za biashara wapato 14 wamesema hawataendelea kukondisha majumba yao kwa maduka ya Nakumatt wakisema kutokna na kutolipwa imekuwa viguu kufanya biashara na maduka hayo.

    Kwenye taarifa ya pamoja wamiliki hao wamesema wanahofia kupata harsara kubwa kutokana na kuendelea kufilisika kwa Nakumatt.

    Baadhi ya wenye nyumba hao wako katika majumba ya Galleria, Nyali, Likoni, Karen Crossroads, Nakuru, Nanyuki, Highridge, City Hall, na Meru.

    Hatua hii inakuja siku chache tu baada ya maduka ya Tuskey ambayo imekuwa ikisaidia Nakumatt kuongeza bidhaa kwenye maduka yao kujiondoa kwenye makubaliano.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako