• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Baraza la Juu la Taifa la Libya lamchagua mwenyekiti mpya

    (GMT+08:00) 2018-04-09 18:50:50

    Baraza la Juu la Taifa la Libya jana lilipiga kura na kumchagua Bw. Khaled al-Meshri kutoka Chama cha Haki na Ujenzi kuwa mwenyekiti mpya wa Baraza hilo akichukua nafasi ya Bw. Abdarrahman Swehli.

    Baraza hilo ni chombo cha kutoa ushauri kwa serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya inayotambuliwa na jumuiya ya kimataifa.

    Mjumbe wa Baraza hilo Bw. Musa Faraj amesema, kwa mujibu wa kanuni, mwenyekiti wa Baraza hilo anachaguliwa kila mwaka. Wajumbe 115 wa Baraza hilo walipiga kura na Bw. Khaled al-Meshri alipata kura 64 ambazo ni kura 19 zaidi kuliko Bw. Swehli, na wajumbe wengine 6 hawakupiga kura.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako