• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Si njia moja tu ya kutimiza utandawazi wa kisasa

    (GMT+08:00) 2018-04-10 10:28:41

    Rais Xi Jinping wa China leo kwenye Baraza la Asia la Boao amesema kuwa, katika miaka 40 iliyopita, China imefuata hali yake e na kutupia macho dunia nzima, kusisitiza uhuru na kujiendeleza kwa uwezo wake na kusisitiza kufungua mlango na kushirikiana kwa kunufaishana, kushikilia utaratibu wa ujamaa na mageuzi ya uchumi wa soko la kiujamaa, kufanya majaribio na kuimarisha ujenzi wa utawala wa ngazi ya juu, na hivyo kufanikiwa kuanzisha njia ya ujamaa wenye umaalumu wa China. Amesisitiza kuwa utekelezaji wenye mafanikio wa China umeonyesha kuwa, njia ya kutimiza utandawazi wa kisasa si moja tu, kama China ikiendelea na mwekeleo sahihi na kujitahidi bila kusita, hakika itafanikiwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako