• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Maendeleo ya China hayataharibu mfumo wa sasa wa kimataifa

    (GMT+08:00) 2018-04-10 11:10:21

    Kwenye mkutano wa mwaka wa baraza la Asia la Boao, rais Xi Jinping wa China amesema hata kama China ikipata maendeleo, haitaitishia nchi yoyote au kuharibu mfumo wa sasa wa kimataifa. China ni mjenzi wa amani ya dunia, mchangiaji wa maendeleo ya dunia, na mlinzi wa utaratibu wa dunia. Amesisitiza kuwa China itashikilia mkakati wa ufungaji mlango unaolenga kunufaishana na kupata maendeleo ya pamoja, kutekeleza sera ya kurahisisha biashara na uwekezaji kwa kiwango cha juu, na kujenga bandari za biashara huria zenye umaalum wa China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako