• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kujenga "Ukanda Mmoja na Njia Moja" kuwa jukwaa la ushirikiano wa kimataifa lenye pande nyingi zaidi

  (GMT+08:00) 2018-04-10 11:44:51

  Rais Xi Jinping wa China leo amesema, tangu miaka mitano iliyopita alipotoa pendekezo la "Ukanda Mmoja na Njia Moja", nchi na mashirika ya kimataifa zaidi 80 zimesaini makubaliano ya ushirikiano wa "Ukanda Mmoja na Njia Moja". Katika ujenzi wa "Ukanda Mmoja na Njia Moja", China haitafanya mashindano ya kijiografia, haitajenga maeneo yake ya kupinga pande yoyote, haitalazimisha pande nyingine. Pande mbalimbali zinapaswa kushikilia na kufuata kanuni za kujenga kwa pamoja na kunufaisha kwa pamoja, na kujenga "Ukanda Mmoja na Njia Moja" kuwa jukwaa la ushirikiano wa kimataifa linalofuata mkondo wa utandawazi wa uchumi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako