• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China kukamilisha marekebisho ya orodha ya sekta zinazopigwa marufuku uwekezaji kutoka nje katika nusu ya kwanza ya mwaka huu

  (GMT+08:00) 2018-04-10 11:52:45

  Rais Xi Jinping wa China leo amesema, mazingira ya uwekezaji ni kama hewa, hewa safi inaweza kuvutia uwekezaji zaidi. China itaungana zaidi na kanuni za uchumi na biashara za kimataifa, kuwa wazi zaidi, kuimarisha ulinzi wa hakimiliki za ujuzi, kushikilia kufuata sheria, kuhimiza ushindani, na kupambana na ukiritimba. Katika nusu ya kwanza ya mwaka huu, China itakamilisha marekebisho ya orodha ya sekta zinazopigwa marufuku uwekezaji kutoka nje, na kutekeleza kwa pande zote utaratibu wa kuwa na haki sawa na wenyeji kabla ya kuruhusu uwekezaji kutoka nje na usimamizi wa orodha ya sekta zinazopigwa marufuku.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako