• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wasanii wa China waandaa maonesho ya picha na mtindo nchini Kenya

    (GMT+08:00) 2018-04-10 16:34:28

    Kikundi cha mawasiliano ya utamaduni kinachoundwa na zaidi ya wasanii 20 kutoka China jana kimeandaa maonesho ya picha na mtindo katika Chuo kikuu cha Nairobi nchini Kenya, ambapo zaidi ya picha 20 na nguo 10 zimeoneshwa.

    Maonesho hayo yameonesha mafanikio ya wasanii kwenye shughuli za mawasiliano ya utamaduni kati ya China na Afrika. Katika siku kumi zilizopita, wasanii hao kutoka China walitembelea Mombasa, Tsavo na Masai Mara, pia wametembelea miradi husika ya ushirikiano kati ya China na Kenya ikiwemo reli ya Mombasa-Nairobi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako