• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya Wakulima wa chai wanaweza kupoteza Sh bilioni 5 kutokana na kupigwa marufuku ukataji miti

    (GMT+08:00) 2018-04-10 19:21:00

    Wakulima wa chai wanaweza kupoteza Sh bilioni 5 kutokana na kupigwa marufuku ukataji miti ikiwa shirika la mawakala wa maendeleo ya chai Kenya itatafuta njia mbadala ya nishati inayojulikana.

    Akizungumza na Mwenyekiti wa KTDA Peter Kanyago amesema wakulima watapata hasara ikiwa marufuku ya ukataji miti itaendelea kwa sababu gharama ya uzalishaji wa chai itaongezeka.

    Mapato ya nje ya chai kwa nchi yalifikia Sh bilioni 129 mwaka 2017 kutoka Sh bilioni 120 mwaka 2016.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako