• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: sekta usindikaji wa bidhaa za kilimo inaweza kuokoa Rwanda dola milioni 118 kila mwaka

    (GMT+08:00) 2018-04-10 19:21:26

    Serikali ya Rwanda imekuwa makini katika kupunguza ukosefu wa biashara, Shirika la Taifa la Utafiti wa Viwanda (NIRDA) imesema kusaidia sekta za uzalishaji wa chakula za ndani na kukabiliana na changamoto kubwa katika sekta hiyo inaweza kuokoa nchi dola milioni 118 kila mwaka ifikapo 2020.

    Samson Bimenyimana, mtafiti katika usindikaji wa bidhaa za kilimo na utafiti wa bioteknolojia NIRDA, aliiambia gazeti moja nchini humu, kuwa kukabiliana na changamoto muhimu za sekta hiyo, inaweza kufikia mahitaji ya ndani na kupiga jeki mauzo ya nje, na hivyo kusaidia kupunguza upungufu wa biashara.

    Miongoni mwa changamoto kuu zinazoendelea kuzuia uzalishaji wa sekta hiyo ni pamoja na vifaa vya kutosha vya malighafi.

    Aidha sekta hiyo, inaonekana kupoteza kiasi kikubwa cha chakula.

    Utafiti uonaonyesha ukosefu wa teknologia umebakia kuwa changamoto katika sekta ya usindikaji.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako