• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Yanga yatoa kauli baada ya ZESCO kumtangaza Lwandamila

    (GMT+08:00) 2018-04-11 08:27:44
    Baada ya taarifa za kocha mkuu wa Yanga, George Lwandamina, kurejea kwao Zambia kujiunga na timu yake ya zamani, Zesco United, uongozi Yanga umekiri uwepo wa taarifa hizo.

    Kupitia mjumbe wa mamati ya utendaji wa klabu ya Yanga, Salum Mkemi, amesema kuwa ni kweli taarifa hizo zimesambaa mitandaoni lakini hawana uhakika kama Lwandamina aeshajiunga na Zesco United.

    Usiku wa kuamkia leo, uongozi wa Yanga umekutana kulijadili suala hilo na inaonekana hakuwa akielewana na baadhi ya viongozi na taarifa zilitoka hivi punde kutoka Zesco United, zimethibitisha kuwa Lwandamina ameshajiunga tayari na miamba hao wa Zambia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako