• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Michuano ya CECAFA U-17: Kocha wa Karume Boys atamba kubeba ubingwa

  (GMT+08:00) 2018-04-11 08:28:26
  Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Zanzibar ya soka chini ya mika 17 (Karume Boys) Mzee Ali Abdallah amewatoa hofu wazanzibar juu ya kikosi chao kinachotarajiwa kwenda Burundi katika mashindasno ya CECAFA ya vijana yanayotarajiwa kuanza rasmi April 14 mwaka huu.

  Akizungumza mara baada ya mazoezi jana mchana katika uwanja wa Amaan, Kocha huyo amesema wameamua kufanya mazoezi mchana ili kuzowea mazingira ya Burundi katika mashindano hayo kwani katika ratiba wamepangiwa kucheza michezo mingine mchana huku aakisema kuwa anaamini kikosi chake kitatwaa ubingwa wa Mashindano hayo.

  Zanzibar imepangwa kundi 'B' pamoja na ndugu zao Tanzania bara, Sudan na Uganda.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako