• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Trump asema atakutana na kiongozi wa Korea Kaskazini Bw. Kim Jong-un mwezi Mei au Juni

    (GMT+08:00) 2018-04-11 08:28:54

    Rais Donald Trump wa Marekani amesema atakutana na kiongozi wa Korea Kaskazini Bw. Kim Jong-un mwezi Mei au mwanzoni mwa mwezi Juni, na kwamba anatumai kuwa kwenye mazungumzo hayo nchi hizo mbili zitaweza kufikia makubaliano ya kuondoa silaha za nyuklia kwenye peninsula ya Korea.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako