• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Michuano ya Raga wachezaji 7 kila upande Singapore: Kenya yapangwa kundi la kifo

  (GMT+08:00) 2018-04-11 08:29:56
  Baada ya mchezo wake na Marekani, Kenya sasa iko katika kundi la kifo katika michuano ya raga wachezaji saba kila upande inayoendelea nchini Singapore.

  Kenya itakutana na Ufaransa na Uingereza, Marekani inaongoza kundi hilo kwa kuwa na pointi 85, huku Kenya ikishika nafasi ya pili kwa pointi 83 wakati Uingereza inashikilia pointi 71 ikiwa nyuma ya Kenya, na Ufaransa inapointi 46.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako