• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Anthony Martial agoma kusaini mkataba Manchester United

  (GMT+08:00) 2018-04-11 08:31:18
  Mshambuliaji wa Manchester United ya England Anthony Martial anayewindwa na vilabu vya FC Bayern Munich ya Ujerumani na Juventus ya Italia jana ameripotiwa kugoma kuongeza mkataba na Man United.

  Anthony Martial ameripotiwa kugoma kusaini mkataba mpya wa miaka mitano wa kuendelea kuitumikia Man United kwa madai ya kukosa nafasi ya kucheza, hivyo ameshinikiza auzwe ili akapate nafasi ya kucheza

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako