• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Nchi za Afrika zatakiwa kuharakisha ugatuzi ili kufanikisha malengo ya maendeleo ya Milenia

    (GMT+08:00) 2018-04-11 08:43:36

    Jumuiya ya serikali za mitaa za nchi za Afrika imelitaka bara la Afrika kuhimiza ugatuzi ili kufanikisha kazi ya kutimiza malengo ya maendeleo endelevu.

    Akiongea mjini Nairobi kwenye mkutano wa siku mbili unafuatilia maendeleo ya makubaliano kuhusu ugatuzi, serikali za mitaa na maendeleo, Katibu mkuu wa jumuiya hiyo Bw Jean Pierre Mbassi, amesema ugatuzi na serikali zilizotekeleza ugatuzi zinaweza kusaidia kufikisha huduma za muhimu kama afya na elimu karibu zaidi na wananchi.

    Makubaliano kuhusu ugatuzi yalifikiwa mwaka 2014 kwenye mkutano wa viongozi wa Afrika, lakini mpaka sasa ni nchi tatu tu zimesaini na kupitisha makubaliano hayo, nchi nyingine 12 zimesaini lakini hazijapitisha makubaliano hayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako