• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais Xi Jinping wa China akutana na viongozi wa nchi mbalimbali

  (GMT+08:00) 2018-04-11 09:53:26

  Baada ya kuhudhuria ufunguzi wa mkutano wa mwaka wa baraza la Asia la Boao, rais Xi Jinping wa China jana mchana alikutana na viongozi wa nchi mbalimbali, wakiwemo waziri mkuu wa Uholanzi Mark Rutte, waziri mkuu wa Pakistan Shahid Khaqan Abbasi, waziri mkuu wa Mongolia Ukhnaagiin Khurelsukh, na rais Rodrigo Duterte wa Phillipines, na wamejadili ushirikiano katika ujenzi wa "Ukanda Mmoja, Njia Moja"

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako