• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Misri na UAE zapinga uingiliaji wa mambo ya ndani ya nchi za kiarabu

    (GMT+08:00) 2018-04-11 17:36:28

    Rais Abdel Fattah El-Sisi wa Misri jana huko Cairo alikutana na mrithi wa mfalme wa Abu Dhabi wa Umoja wa Falme za Kiarabu UAE, Bw. Mohammed bin Zayed, ambapo kwa pamoja viongozi hao wameeleza kupinga nchi za kigeni kuingilia mambo ya ndani ya nchi za kiarabu.

    Taarifa iliyotolewa na ikulu ya Misri imesema, nchi hizo mbili zitafanya juhudi kuimarisha mawasiliano na uratibu kati ya nchi za kiarabu, ili kukabiliana na msukosuko na changamoto zinazoikabili kanda hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako