• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Bei ya Unga Kenya yashuka

    (GMT+08:00) 2018-04-11 20:39:36

    Bei ya unga wa mahindi nchini Kenya imeshuka zaidi sasa bandali moja ikiuzwa kwa dola 11 kutoka dola 12.03 za mwezi Januari mwaka huu.

    Wenye viwanda vya kusaga unga wamesema kushuka kwa bei kumechangiwa na kupungua kwa bei ya mahindi.

    Awali kilo mbili za unga ziliuzwa kwa dola 0.9 lakini lakini makampuni ya unga yalipewa msaada na serikali ili kupunguzia wateja bei.

    Kwa sasa unga wa Jimbi ni shilingi 98 Kifaru, Soko 100, Pembe Sh100 nayo Jogoo ni 101.

    Wasagaji wananunua gunia la kilo 90 la mahindi kwa shilingi 2,300 ikilinganishwa na 3,000 za mwezi desemba.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako