• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya: Pesa zinazotumwa na wakenya kutoka nje zafikia dola milioni 210

  (GMT+08:00) 2018-04-11 20:40:17

  Pesa wanazotuma nyumbani wakenya waishio nje ya nchi zimeongezeka na kufikia dola milioni 210 kati ya mwezi Februari na mwezi Aprili.

  Taakwimu kutoka kwa benki kuu ya Kenya zinaonyesha kuwa pesa nyingi zinatumwa na traia wa Kenya wanaoishi nchini Marekani.

  Wakenya waishio maeneo ya Amerika kaskazini na Canada walituma kwa jumla dola milioni 115 ikilinganishwa na dola milioni 65 kipindi sawa na hicho mwaka jana.

  Na pesa za wale wanaoishi ulaya ziliongezeka kwa asilimia 36 na kufikia dola milioni 63.

  Zaidi ya thuluthi tatu ya pesa zinatotumwa kutoka nje zinatumika kulipia karo, matibabu na kusaidia familia.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako