• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rwanda: Yvonne Manzi Makolo ni mkuu mpya wa RwandAir

  (GMT+08:00) 2018-04-11 20:41:35

  Yvonne Manzi Makolo amechukua hatamu kama mkurungezi mkuu wa shirika la ndege nchini Rwanda RwandAir.

  Makolo aliteuliwa mwishoni mwa wiki jana kuchukua nafasi hiyo kutoka kwa mkurungezi anayeondoka Colonel Chance Ndagano.

  Kwenye hotuba yake ya kuliaga shirika hilo Ndagano ameelezea imani yake kwa mkurungezi mpya akisema atasaidia RwandAir kufikia ngazi mpya ya maendeleo.

  Awali Makolo alikuwa naibu wa mkuu wa mawasiliano kwenye shirika hilo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako