• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 257 wafariki baada ya ndege ya kijeshi kuanguka Algeria

    (GMT+08:00) 2018-04-12 08:24:03

    Taarifa iliyotolewa jana asubuhi na wizara ya ulinzi ya Algeria inasema idadi ya vifo kutokana na ajali ya kuanguka kwa ndege ya jeshi nchini humo imefikia 257, wakiwemo wafanyakazi 10 wa ndege. Taarifa inasema ndege ya kijeshi aina ya IL-76 ilianguka muda mfupi baada ya kuruka kutoka uwanja wa ndege wa Boufarik ulioko kaskazini mwa Algeria, na watu wote waliokuwemo kwenye ndege hiyo hawajanusurika, wengi wao ni wanajeshi na wanafamilia wao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako