• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kituo cha kwanza cha mfumo wa satellite wa kuongoza mawasiliano wa Beidou wa China chazinduliwa Tunisia

    (GMT+08:00) 2018-04-12 08:24:44

    Kituo cha kwanza cha mfumo wa satellite wa kuongoza mawasiliano wa Beidou wa China katika nchi za nje kimezinduliwa rasmi nchini Tunisia. Kituo hicho kinacholenga kutoa huduma kwa nchi za Kiarabu na Afrika, kitaonesha mafanikio yaliyopatikana kwenye matumizi ya mfumo huo, na pia kuwa jukwaa la kuhimiza mawasiliano na ushirikiano wa kimataifa kwenye sekta hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako