• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Saudi Arabia yazuia makombora mawili yaliyorushwa na kundi la Houthi kutoka Yemen

    (GMT+08:00) 2018-04-12 08:25:00

    Muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia umesema vikosi vya ulinzi wa anga vya Saudi Arabia vimefanikiwa kuzuia makombora mawili yaliyorushwa na kundi la Houthi kutoka nchini Yemen, na kutungua ndege mbili zisizo na rubani za kundi hilo. Saudi Arabia imeshuhudia mashambulizi mengi ya makombora yanayorushwa na kundi la Houthi, baada ya nchi hiyo na washirika wake kuanzisha operesheni za kijeshi za kupambana na kundi hilo mwezi Machi mwaka 2015.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako