• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) Mashabiki wa Yanga wavamia Klabu Usiku

  (GMT+08:00) 2018-04-12 08:28:15
  Baadhi ya mashabiki na wanachama wa klabu ya Yanga wamevamia ofisi za makao makuu ya klabu hiyo jana usiku wakimtaka katibu mkuu wa klabu hiyo Charles Boniface Mkawasa awape ufafanuzi kuhusiana na kuondoka kocha mkuu wa timu hiyo George Lwandamina ambaye amerejea Zambia kujiunga na timu yake ya zamani, Zesco United. Mashabiki hao wamemtupia lawama Mkwasa wakimtuhumu kuwa ni chanzo cha kocha huyo kuondoka.

  Wakati huo huo, Yanga imelazimishwa sare ya goli 1-1 na Singida United katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara uliochezwa uwanja wa taifa jijini Dar es salaam

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako