• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Michuano ya Judo Afrika: Maandalizi yanaendelea nchini Burundi

  (GMT+08:00) 2018-04-12 08:28:54
  Shirikisho la mchezo wa Judo la Burundi limeanza maandalizi ya michuano ya mabingwa wa Judo barani Afrika kwa timu za wakubwa na vijana mwaka huu.

  Waziri wa vijana vijana, michezo na utamaduni wa Burundi bwana Jean Bosco Hitimana amesema michuano hiyo itakuwa ya siku 10 na jumla ya nchi 35 za Afrika zitashiriki, mabingwa wa michuano hiyo watashiriki katika mashindano ya vijana ya Olimpiki mwaka huu na mashindano ya Olimpiki yatakayofanyika Tokyo Japan mwaka 2020.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako