• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Michuano ya Tenisi kuwania kombe la Fed: Serena, Venus watinga nusu fainali.

  (GMT+08:00) 2018-04-12 08:30:09
  Serena na Venus Williams wamechaguliwa katika timu ya tenisi ya Marekani kukabiliana na Ufaransa katika nusu fainali za Fed Cup, Shirika la Tennis la Marekani (USTA) lilitangaza Jumatano.

  Madada hao walicheza katika mechi ya kwanza ya Uholanzi huko North Carolina mwezi Februari, na kufanikiwa kutinga nusu fainali hiyo itakayochezwa katika mji wa Aix-En nchini Ufaransa April 21 na 22 mwaka huu. Mchezo mwingine wa nusu fainali utakuwa kati ya timu ya Ujerumani dhidi ya Jamhuri ya Czech utakaochezwa mjini Stuttgart.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako