• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Juzuu ya pili ya lugha mbalimbali ya kitabu cha rais Xi Jinping wa China yazinduliwa London

  (GMT+08:00) 2018-04-12 10:36:35

  Juzuu ya pili ya lugha mbalimbali ya Kitabu cha rais Xi Jinping wa China kuhusu utawala wa nchi, ilitolewa rasmi mjini London, Uingereza mapema jana.

  Mwanamfalme wa Uingereza Andrew na mkurugenzi wa ofisi ya habari ya Baraza la serikali la China Bw. Jiang Jianguo wamehudhuria hafla ya kuzindua kitabu hicho iliyoandaliwa na Ubalozi wa China nchini Uingereza, na kuhudhuriwa na wanasiasa, wafanyabiashara, wasomi, wanahabari na wajumbe zaidi ya 300 kutoka mashirika ya uchapishaji ya nchi na sehemu 14 duniani.

  Balozi wa China nchini Uingereza Bw. Liu Xiaoming amesema kuzinduliwa kwa kitabu hicho mjini London, kuna umuhimu mkubwa katika kuhimiza mawasiliano ya kifikra kati ya Mashariki na Magharibi, na maingiliano kati ya staarabu za pande hizo mbili.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako