• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ujerumani yaamua kuongeza muda wa majukumu ya kutoa mafunzo ya kijeshi nchini Mali

    (GMT+08:00) 2018-04-12 16:52:58

    Serikali ya Ujerumani imeamua kuwa jeshi la ulinzi wa taifa litaongeza muda wa majukumu ya kutoa ushauri wa kijeshi na mafunzo nchini Mali

    Ujerumani imefikia uamuzi huo baada ya kufanya mkutano wa ndani uliodumu kwa siku mbili huko Meseberg.

    Muda wa jeshi hilo kutoa ushauri na mafunzo kwa jeshi la Mali utamalizika mwezi Mei mwaka huu, na sasa muda huo umeongezwa kwa mwaka mmoja hadi mwaka kesho mwezi wa Mei.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako