• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mkutano wa Baraza la biashara na uwekezaji la Ukanda mmoja Njia moja wafanyika Beijing

  (GMT+08:00) 2018-04-13 08:30:06

  Mkutano wa Baraza la biashara na uwekezaji la Ukanda mmoja Njia moja ulifanyika jana hapa Beijing. Wajumbe wa China na nchi za nje waliohudhuria mkutano huo wanaona kuwa inapaswa kuimarisha zaidi ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara wa Ukanda mmoja Njia moja, ili kutoa msukumo mpya kwa ukuaji wa uchumi wa dunia. Akihutubia mkutano huo uliohudhuriwa na wajumbe zaidi ya 700 kutoka nchi zaidi ya 700, mwenyekiti wa Shirikisho la biashara na viwanda la China Bw. Gao Yunlong amehamasisha sekta za biashara na viwanda kushiriki zaidi kwenye ujenzi wa Ukanda mmoja Njia moja, na kutoa wito kwa mashirika ya kuhimiza biashara na uwekezaji ya nchi mbalimbali kuanzisha utaratibu shirikishi wa ushirikiano, na kujenga jukwaa lenye ufanisi la kutoa huduma kwa wafanyabiashara na wawekezaji.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako