• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais wa China aagiza kulijenga jeshi la majini kuwa la daraja la kwanza duniani

  (GMT+08:00) 2018-04-13 09:54:23

  Kamati ya kijeshi ya Kamati kuu ya Chama cha kikomunisti cha China ilifanya gwaride kubwa ya jeshi la majini kwenye eneo la Bahari ya Kusini jana asubuhi.

  Rais Xi Jinping wa China amekagua gwaride hilo na kutoa hotuba muhimu, akisisitiza kuwa China inapaswa kutekeleza wazo la chama kuhusu kuimarisha jeshi katika zama mpya, kushikilia kujenga jeshi kwa kufuata miongozo ya kisiasa, kuimarisha jeshi kwa kufanya mageuzi, kuendeleza jeshi kwa sayansi na teknolojia, na kutawala jeshi kwa mujibu wa sheria, ili kulijenga jeshi la majini la China kuwa la daraja la kwanza duniani.

  Gwaride hilo imeshirikisha aina nyingi mpya za nyambizi, manowazri na ndege za kivita.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako