• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL):Simba yanusa harufu ya ubingwa

  (GMT+08:00) 2018-04-13 08:39:07
  Simba SC imeongeza kasi kulikimbilia taji la ubingwa wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara baada ya ushindi wa 3-1 dhidi ya Mbeya City uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jioni ya jana.

  Ushindi huo unawafanya wekundu hao wa Msimbazi kufikisha pointi 55 baada ya kucheza mechi 23, moja zaidi ya mabingwa watetezi, Yanga SC wenye pointi 47 katika nafasi ya pili.

  Katika mchezo huo hadi mapumziko Simba SC walikuwa tayari wamekwishavuna ushindi huo wa mabao 3-1.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako